Vituko vya Gogo Mbugani
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuongoza
Mbuzi kwa jina Go-go anapotelea katika mbuga ya wanyama ya Nairobi. Anakumbwa na hofu akikumbuka wanyama hatari wa porini wanaoweza kumgeuza kitoweo. Mbuzi Go-go hana budi kutumia akili la sivyo apatwe na makubwa. Je, Mbuzi Go-Go atafanya nini ili arejee kwao salama salamini?
Reviews
There are no reviews yet.