Amri ya Wakati 2a by Mohamed
Original price was: KSh472.23.KSh425.00Current price is: KSh425.00.
Matonga hakubaliani na familia yake, marafiki zake na jamii nzima kuhusu nafasi wanayopewa vijana katika nchi yake.Kiu ya Matonga inamsukuma kuvunja kanuni za utu na desturi za kimila ili apate fursa ya kwenda nchi za ng’ambo anakodhani atapata riziki. Lakini, wakati tu ndio utakaoamua.
ISBN: 9780195735598
Reviews
There are no reviews yet.