Tausi na majuto katika kisa cha gaidi lii by Chege
Original price was: KSh356.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.
Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya
kuua na kufanya vitendo vya ugaidi. Serikali imejaribu kumkomesha lakini imeshindwa.
Nani ataweza kumkomesha? Soma hadithi ujionee jinsi kijana mmoja wa mitaani anasaidia kumkomesha gaidi huyo sugu.
Karang’ae Chege ni mwandishi aliyebobea katika uandishi wa vitabu vya hadithi vya kusisimua.
Miongoni mwa vichapo vyake vingine ni Safari ya Mabwe ambacho pia kimechapishwa na Queenex Publishers.
ISBN: 9789966075512
Reviews
There are no reviews yet.