Sofi na Karisa
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.
Kila siku inakuwa na hali tofauti. Hali inaweza kuwa ya upepo, mvua, jua au baridi.
Sofi na Karisa wanafanya mambo tofauti kwa sababu ya hali ya anga. Wao pia huvaa mavazi
mbalimbali kwa sababu ya hali ya anga. Soma kitabu hiki. Utajua mavazi ambayo
Sofi na Karisa huvaa kwa sababu ya hali ya anga. Utajua pia mambo wanayofanya wakati wa hali mbalimbali.
ISBN : 9789966347763
Reviews
There are no reviews yet.