Paka na Panya by Nyakeri
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.
Chaka ni paka anayeishi kichakani. Mvua inanyesha sana na hawezi kupata chakula. Njaa inamuuma sana . Mvua inapopungua anaondoka kwenda kutafuta chakula. Kwa bahati nzuri anamwona panya karibu na shimo lake. Panya anamsaidia paka. Anampa chakula na mahali pa kulala karibu na moto. Paka analala akiwa ameshiba.Je, Chaka atalipa wema kwa wema ?
ISBN: 9789966341822
Reviews
There are no reviews yet.