JKF Nyota ya Kiswahili Gredi 6
Original price was: KSh644.00.KSh580.00Current price is: KSh580.00.
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa Gredi ya Sita. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
ISBN: 9789966512116
Reviews
There are no reviews yet.