Nguu za jadi by CLARA MOMANYI
KSh766.00 Original price was: KSh766.00.KSh690.00Current price is: KSh690.00.
ISBN: 9789966141613
Related products
-
Moran Pearls: President’s Son by Koranteng
KSh550.00Original price was: KSh550.00.KSh495.00Current price is: KSh495.00.Add to cart‘Now that you are the President’s son, you are left with only one thing.’
‘What is it?’
‘The guts and aplomb that go into the President’s son!’
The two rogues would like to reap where they have not sown.
Will Tabi impersonate the President’s son? Will the sugarcoated words be enough to get them to the land of milk and honey?
ISBN: 9789966630254
-
Bembea ya Maisha – Set Book by Timothy M Arege
KSh516.00Original price was: KSh516.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartBembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.
ISBN: 9789966194534
-
Mshale wa Matumaini Grade 7 (Access) by John Habwe
KSh444.00Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartZingo na mama yake wanakimbilia ughaibuni kufuatia mzozo wa kikabila katika nchi yao. Huko ughaibuni wanakabiliwa na matatizo mengi. Zingo anafanya bidii kuyakabili licha ya umri wake mdogo. Hata hivyo, kinachomstaajabisha na kumhuzunisha ni kuhusishwa na baba yake ambaye anatuhumiwa kuwa mhalifu wa kivita. Zingo anabaguliwa na wenzake lakini anapiga moyo konde na kuendelea na masomo yake ambayo sasa yanampa matumaini ya kuyageuza maisha yake ya karaha kuwa ya furaha. Hii ni hadithi ya huzuni inayofunua makovu ya mizozo ya kijamii hasa mizozo hiyo inavyoathiri vijana wadogo.
ISBN: 9789914729931
-
Study Guide a Silent Song and other stories (Climax)
KSh583.33Original price was: KSh583.33.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartAn Episodic Approach guide book to A silent Song and Other Stories by Spotlight Publishers Ltd and edited by Godwin Siundu.
ISBN: 9784443456853
-
Mwongozo wa Bembea ya Maisha (Climax)
KSh555.00Original price was: KSh555.00.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartMwongozo huu wa tamthilia ya Bembea unajumulisha vijitabu vitatu.
1.Mwongozo wenyewe wa Tamthilia ya Bembea.
2. Ushauri kwa mwanafunzi kuhusu jinsi ya kujibu ya kiswahili ya KCSE.
3. Mifano ya Maswali na majibu mwafaka
ISBN: 9782199766806
Reviews
There are no reviews yet.