Nimlaumu Nani? by Roy G Ndambuki
Original price was: KSh366.00.KSh330.00Current price is: KSh330.00.
Nimlaumu nani? 7a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia.
- Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani. kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora. haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua. kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.
ISBN: 9780195733143
Reviews
There are no reviews yet.