OUP Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook
KSh427.00 Original price was: KSh427.00.KSh385.00Current price is: KSh385.00.
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi, Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umitisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
ISBN: 9780195747362
Related products
-
OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved)
KSh522.22Original price was: KSh522.22.KSh470.00Current price is: KSh470.00.Add to cartSoma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza,
kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka.
ISBN: 9780195746945
-
Visionary CRE Activities Grade 1
KSh389.00Original price was: KSh389.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.Add to cartChristian Religious Activities is a learning area aimed at instilling in the learner moral and spiritual values to enable him or her live a morally upright life and fit well in society.
KLB Visionary Grade 1 Christian Religious Activities Learner’s Workbook has been developed in line with the requirements of the new Competence Based Curriculum Design.The experiences have been developed in tandem with the thematic integrated approach that is recommended for children at this level. The book is generously illustrated to enliven the content and the text follows the design closely.
This Workbook has employed a child-centred approach where all experiences are centred on the child’s interests, knowledge and application to real life situations in line with the Life Approach Method of teaching Christian Religious Education. Learners encounter different situations and gain experience from what happens around them. Every lesson has something to draw from day-to-day occurrences. This Learner’s Workbook has, therefore, used short texts in simple language with familiar situations that are created to help learners understand more difficult concepts.
Gender-equitable roles have been reflected so as to erase the association of certain tasks with specific gender. For example, both boys and girls are involved in household chores, playing musical instruments and actively participating in church activities. The principle of inclusivity has been taken care of by having illustrations of children with special needs involved in common activities with other children to make learners appreciate them as part of the society.
This Learner’s book is basically a Workbook with numerous practical activities within and at the end of every lesson to enable the learner to practise doing on their own. The simple exercises like drawing, colouring, singing and reciting memory verses are integrated within the lessons so as to make learning interesting and participatory.ISBN: 9789966652409
-
Mentor English Activities Grade 1 Learner’s Book
KSh555.55Original price was: KSh555.55.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartMentor English Activities Grade 2 workbook is fully in line with the new Competency Based Curriculum.The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for the learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya
-
Mentor Kielekezi cha Shughuli GD1
KSh511.00Original price was: KSh511.00.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartKIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 1 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpyaunaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
(i) Kusikiliza na Kuzungumza
(ii) Kusoma
(iii) Kuandika
(iv) Msamiati
(v) Sarufi
ISBN: 9789966059666
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 1 (Approved)
KSh311.00Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00.Add to cart
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652324
Reviews
There are no reviews yet.