Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3
Original price was: KSh838.00.KSh755.00Current price is: KSh755.00.
Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili.
Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Tatu.
ISBN: 9789966101150
Reviews
There are no reviews yet.