Sale!
Sale!
Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili GD2
Original price was: KSh361.11.KSh325.00Current price is: KSh325.00.
ISBN: 9789966572103
Category
KSh361.11 Original price was: KSh361.11.KSh325.00Current price is: KSh325.00.
ISBN: 9789966572103
Premier Kiswahili Kitabu cha Mazoezi Gredi ya 2 ni kitabu cha mazoezi kilichoambatanishwa na Mtaala Mpya wa Elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata maarifa, ustadi, maadili, mitazamo na umilisi ambao utaunda msingi wa dhana…
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652140
Know More Art and Craft Learner’s Book for Grade 1 is written in conformity to the new competency-based curriculum design to assist learners carry out various interactive learning activities.
The book provides learners with opportunities to develop core competencies, values, skills and attitudes.
Reviews
There are no reviews yet.