Kurunzi ya kiswahili Grade 1
Original price was: KSh638.88.KSh575.00Current price is: KSh575.00.
Toleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwemo: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.
Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandika na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya wa Kiswahili uliofanyiwa marekebisho, 2022, kimeandikwa kwa njia sahili na yenye mvuto.
Reviews
There are no reviews yet.