Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 6 (Approved) by Distinction
Original price was: KSh755.56.KSh680.00Current price is: KSh680.00.
Kipeo Cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana,kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa,kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.Hai hii inatokana na mabadiliko katika mfumo wa elimu 8-4-4 hadi wa umilisi nchini kenya.
ISBN: 9789966122407
Reviews
There are no reviews yet.