Macheo by Zuhura Asman
Original price was: KSh272.23.KSh245.00Current price is: KSh245.00.
Nilijinyanyua polepole kutoka sakafuni huku nikilia kwa kwikwi. Nilijipangusa kwa utaratibu.Kaptura yangu isingetakata kwani ilikuwa ya rangi iliyong’aa kama mbalamwezi.Nilipopita kwenda kuketi,nilimwona Safari akiniangalia kwenye makalio.Aliangua kicheko cha kuogofya kilicholitetemesha darasa zima.Wanafunzi nao wakaanza kucheka. Kaptura yangu ilijaa vumbi kwelikweli .Nilisonya tu na kujipweteka kitini huku nikikiangalia kitabu changu cha Hisabati
ISBN: 2010143000770
Reviews
There are no reviews yet.