Hamnazo na Hadithi Nyingine by Queenex
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.
“Leo nilikuja ofisini mwako kukuletea zawadi ya shilingi milioni moja taslimu. Usiku mwema.” Ni nani huyu aliyekwenda ofisini kupeleka zawadi hii? Naye alikuwa anampelekea nani? Kwa nini akajishinikiza kupeleka zawadi kubwa kadiri hiyo? Majibu ya maswali hayo hayapatikani pengine popote ila katika hadithi hii ya Hamnazo.
ISBN: 9789966075284
Reviews
There are no reviews yet.