Kaka sungura by Story Moja
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.
Wanafunzi wamebandika mvulana mwenzao wa Gredi ya Nne jina ‘Kaka kama Sungura’ kwa sababu meno yake yanafanana na ya sungura. Anapochoshwa na uchokozi, anaibua mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi wakorofi. Je mbinu hizo zitafaulu?
ISBN: 9789966066664
Reviews
There are no reviews yet.