Panda Ngazi: Mbuzi anasoma
Original price was: KSh255.56.KSh230.00Current price is: KSh230.00.
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa
kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu
rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.
Mfululizo huu una viwango kama vile mwimbuko, mwanzo, mpito na kati.
ISBN: 9789966631152
Reviews
There are no reviews yet.