Tomi Atuzwa na Hadithi nyingine 5c by Queenex
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.
Queenex Hadithi za Ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
ISBN: 9789966141972
Reviews
There are no reviews yet.