Mchezo wa mtelezo na hadithi nyingine by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh322.23.KSh290.00Current price is: KSh290.00.
Mwalimu mkuu anawashauri wanafunzi kwenda nyumbani mapema kwani shule yao itatumiwa kugawa chakula cha msaada. Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi wanakiuka ushauri huo. Wanajiingiza katika mchezo wa mtelezo kwa muda mrefu. hawajali athari za kushindana na kutumbukia mjini
ISBN: 9789966075154
Reviews
There are no reviews yet.