Mikosi na Heri by Geoffrey Levi Shimanyula
Original price was: KSh166.67.KSh150.00Current price is: KSh150.00.
Mikosi na Heri ni mkusanyiko wa hadithi saba zenye mafunzo bora maishani. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi wa darasa la sita. Baadhi ya mada ambazo zimezingatiwa na mwandishi ni utiifu, uadilifu, kusema ukweli kila mara, busara maishani na mengineyo. Msomaji wa hadithi hizi pia atapata fursa ya kujifunza lugha ya Kiswahili kwa urahisi.
ISBN: 2010143000044
Reviews
There are no reviews yet.