Dua ya faraja
Original price was: KSh322.22.KSh290.00Current price is: KSh290.00.
Dua ya Faraja ni hadithi inayozungumzia jinsi kilang mmoja,
Gambo anavyojipata katika hall tatanishi Bandaue Gambo anafanikiwa kuikwepa mitego yote ya
kimaisha na hatimaye anatimiza ndoto yake, “Natasi yangu yanitatiza lakini mahitaji uanizidi.
Sophy Onura ni mwalimu wa Kiswahili. Ana tajriba ya miaka si haba katika kufundisha
somo la Kiswahili katika shule mbalimbali nchini. Pia ni mtunzi wa mashairi hasa katika gazeti la Taifa Leo.
ISBN: 9789966115119
Reviews
There are no reviews yet.