Mweri na Ndege wa Ajabu
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.
Mweri ana mwili mdogo sana kwenda kuwinda porini kama wavulana wengine wa rika lake. Wenzake humfanyia mzaha kwa sababu hufikiri yeye ni mdogo wa kimo na mnyonge. Mweri alipojifunza kutoka ndege wa ajabu kuwa watu wake wako hatarini, ilibidi atafute njia za kuwaokoa. Je, wanakijiji watamwamini huyo Mweri mdogo?
Author:
Sarah Haluwa
Reviews
There are no reviews yet.