Nachora kwa Maneno by Swaleh Mdoe
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.
Kabla hata hajapata mtoto, Shangasa aliuchukia umasikini. Siku moja alimfuata mganga maarufu wajadi, jina lake Deberi. Watu wengi walimsifu Deberi kwa utabiri na dawa zake zenye kuleta bahati. Lakini miujiza hiyo haikuwa na maana, bali mazingaombwe tu. Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule za msingi.
ISBN: 9781957331690
Reviews
There are no reviews yet.