Embe tamu 5a
Original price was: KSh327.77.KSh295.00Current price is: KSh295.00.
Embe Tamu 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msjngi wa kdsomo pa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tanokafikashiiiezamsingi. ‘ Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi. vichekesho, tashihisi. mbinu rejeshi. taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi. maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu. pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 195730771
Reviews
There are no reviews yet.