Wimbo wa Tembo by storymoja
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.
Malonza anakutana na mwanamke mrembo wa ajabu anapokuwa akiwinda wanyama
karibu na Mto Tana. Mwanamke anakubali kuolewa na Malonza. Wanapokosa chakula,
mwanamke anamwambia Malonza amsugue meno ili wayauze na kununua chakula. Hata
hivyo, anamwonya asifichue siri ya meno. Malonza anafuata masharti. Anauza meno katika eneo la Pwani. Ananunua nafaka ya kuwatosheleza katika kipindi hicho cha kiangazi. Wafanyabiashara wanatamani meno zaidi. Meno mengine yatapatikana kweli?
Reviews
There are no reviews yet.