Category: Storybooks
Storybooks
Showing 313–336 of 1058 results
-
Jua na Upepo Author: Anne Matindi
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
juma gets a fortune
Original price was: KSh366.00.KSh330.00Current price is: KSh330.00. -
Jump grasshopper jump! by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartWords have the power to encourage and to discourage. Which words will the grasshoppers listen to when their lives are in danger?
ISBN: 9789966620606
-
Jungle Series: Aby ant by Queenex
Original price was: KSh222.00.KSh200.00Current price is: KSh200.00.Add to cartThe jungle series is a collection of books designed to impart literacy skills to children in their early years. We use animal stories to impart leadership principles and ideal values in the reader.
ISBN: 9789966142306
-
Jungle Series: At the Park by Queenex
Original price was: KSh222.00.KSh200.00Current price is: KSh200.00.Add to cartThe jungle series is a collection of books designed to impart literacy skills to children in their early years. We use animal stories to impart leadership principles and ideal values in the reader.
ISBN: 9789966142252
-
Junior Pilot by Mpesha
Original price was: KSh450.00.KSh410.00Current price is: KSh410.00. -
Kajogoo 4c by EAEP
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.Add to cartStories in the Sunrise Reading Scheme
4a – The Lost Gazelle – P. Ikonya
4b – The Greedy Leopard – Lex Ikon
4c – Kajogoo – Laban Erapu
4d – Epuko’s Secret Home – Laban Erapu
4e – Kazungu and the Stolen Books – Joseph Maina
4f – Adventures of Mambo and his Sister – K. Ndirangu
4g – Day of the Pets – Karomo Ndirangu
4h – Samba and the Goat – Frank Odoi
4i – We Met a Grasshopper and Other Poems – P. IkonyaISBN: 9789966257161
-
Kajumbe na Mbogo by Moran
Original price was: KSh383.00.KSh345.00Current price is: KSh345.00. -
Kaka Mzalendo na Genge la majambazi
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartVitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. Kaka mzalendo ni kijana jasiri. Anasikia majambazi wakipanga njama…
By Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kaka mzalendo ni kijana jasiri. Anasikia majambazi wakipanga njama ya kuvamia kijiji chao. Anawahimiza wanakijiji
kupambana na genge hilo. Kisa kinachofuata ni cha kusisimua -
Kaka sungura by Story Moja
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartWanafunzi wamebandika mvulana mwenzao wa Gredi ya Nne jina ‘Kaka kama Sungura’ kwa sababu meno yake yanafanana na ya sungura. Anapochoshwa na uchokozi, anaibua mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi wakorofi. Je mbinu hizo zitafaulu?
ISBN: 9789966066664
-
KALAMU YA MARIA IMEPOTEA
Original price was: KSh260.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00. -
Kalulu And The Animal [Approved]
Original price was: KSh177.00.KSh160.00Current price is: KSh160.00. -
Kalulu na Mti Mkavu 4e by Tangauko
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartKalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.ISBN:9780195739589
-
Kamba ya Karo
Original price was: KSh255.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00.Add to cartKamba ya Karo
Author: Timothy Omusikoyo
ISBN: 978-9966-631138
Vitabu hivi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma. -
KAMIAO THE CAT & OTHER STORIES
Original price was: KSh166.00.KSh150.00Current price is: KSh150.00. -
Kamwe si Mbali tena
Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.Add to cartTambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana … Leo limemeza ndoana … Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili … Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya…
By Said A Mohamed -
Kanda ya Siri
Original price was: KSh722.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00. -
Kangaruu wa Samawati by Matundura
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00. -
Karamu 5 by “Bracey, Lieta”
Original price was: KSh266.00.KSh240.00Current price is: KSh240.00.Add to cartHadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyeusi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto
ISBN: 9966363750
-
Karamu ya Lina 1e by Nandwa
Original price was: KSh222.00.KSh200.00Current price is: KSh200.00.Add to cartLatest Edition of Primary School Books for your Child that have pictorial illustrations for quick and easy learning.
ISBN: 9789966255136
-
Karanga Ajikaanga
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKaranga Ajikaanga ni mkusanyiko wa visa vya kuelimisha, kuburudisha na kufahamisha vinavyojadili maisha ya vijana katika sehemu za mashambani. Wahusika ni vijana wa kawaida wanaopuuza ushauri wa wazazi.
-
Karani Ajuta by Florence Nyakeri
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00. -
kasha jeusi
Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.Add to cartRoho ya tamaa na ubinafsi inaweza kumsukuma binadamu kufanya maovu yasiyo mfano. Ni nini kinamsukuma Makali Radi kuwa katili kwa ndugu yake na mwandani kiasi cha kufikia uamuzi wa kumuua? Pata nakala yako ya riwaya ya #KashaJeusi ili upate uhondo kamili
-
Kashida katika Shida
Original price was: KSh388.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.