Category: Storybooks
Storybooks
Showing 361–384 of 1058 results
-
Kiki and the Piggy Bank by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartIt is good to teach children about finances. They grow up with a responsible attitude about money. Later, they use their money wisely.
This book is designed to help children appreciate the value of money and embrace a saving culture. This is an interesting story about a small girt, Kiki. She saves money in her piggy bank. Later she opens a bank account.
-
Kiki goes Shopping by Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
King of all Fish 4g by E Kabaji
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00. -
King of all Fish 4g by E Kabaji
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00. -
King Saul and David
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartKing Saul and David Author: Sarah Ambiyo ISBN: 978 9966 347 65 7 David becomes not only successful in war but the people of Israel come to love him more than they love King Saul. The king becomes jealous of David and plans to kill him.
-
King’s Ring Moran grade Level 5 by Emerson
Original price was: KSh455.00.KSh410.00Current price is: KSh410.00. -
kiparangoto
Original price was: KSh327.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00. -
Kipengo 2b by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kipepeo apeperuka by Said
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartDunia haishi maajabu. Kuna mengi ya kuajabia. Katika ulimwengu wa wadudu, kuna baadhi yao wanaopitia hatua kadhaa za maisha yao kuanzia yal. Mageuzi hayo katika maumbile yao na maisha yao yana maana na umuhimu kwetu pia. Hebu tujifunze sote maumbile ya kipepeo. Hassan Said ana tajriba pana katika uchapishaji vitabu hasa kamusi na hadithi za watoto. Sasa amejitoma katika ulingo wa hadithi, kama mwandishi chipukizi, akipanua mawanda ya uhariri na uandishi.
ISBN: 9789966115157
-
kipepeo mrembo klb
Original price was: KSh144.00.KSh130.00Current price is: KSh130.00. -
Kisa cha Mebo by Atulo
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
Kisa cha Peremende 2a by Maillu
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.Add to cartMuli na Ndungi ni marafiki wakubwa. Walimsaidia mvulana kwa jina Mumo kwenda nyumbani alipoteguka mguu wakicheza. Muli na Ndungi walipewa kila mmoja pakiti ya peremende na babake Mumo. Peremende za Muli zinaendelea kuongezeka. Peremende za Ndungi nazo zinaendelea kupunguka na mwishowe kumalizika. Je, ni kwa nini peremende za Muli zinaongezeka na za Ndungi kupungua?
ISBN: 9789966341846
-
Kisasi Hapana! 8a by Ken Walibora
Original price was: KSh400.00.KSh360.00Current price is: KSh360.00.Add to cartKisasi Hapana! 8a ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za .msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto.
ISBN: 9780195734331
-
kitendawili cha nungunungu-one planet
Original price was: KSh261.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00.Add to cartAdamu na Mwangavu wanatoka shuleni. Adamu anajikwaa kwenye kitu anachodhani ni jiwe. Anasimulia wazazi wake kisa hicho. Baba yake, Mganga Fadhili, anamwambia si jiwe bali ni nungunungu ambaye hapo awali alikuwa kijana mtundu. Je, binadamu anaweza…
By One Planet -
Kiti cha Moyoni na hadithi Nyingine by Oxford
Original price was: KSh761.00.KSh685.00Current price is: KSh685.00.Add to cartKiti cha Moyoni na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi ishirini ambazo zinathibitisha kwamba uwanja huu wa fasihi ya Kiswahili umefikia ukomavu wa hali ya juu katika vipengele vyake vyote: kimaudhui (ambayo ni anuwai: mapenzi, unyumba, siasa, uchumi, ucheshi, uana, utamaduni, mazingira, ufisadi, utandawazi na taathira zake kimataifa, n.k.); kimtindo na ujumi (ambao umezikoleza utamu na ladha hadithi zenyewe, hasa katika mtindo mpya wa fantasia na mkengeuko wa ukweli kama tunavyoujua kila siku). Bila shaka, mna ukwasi wa lugha, unaokwepa Kiswahili cha darasani; hasa kwa wingi wa ufundi wake uliojaa misamiati, jazanda, sitiari na tamathali zote za semi kwa ujumla.
ISBN: 9780195733785
-
Kito apepeta by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKito, msichana mdogo wa shule ya msingi, ana kipawa cha kuimba. Kila apatapo nafasi anakuza kipawa hicho. Mwalimu anapomtafuta mwanafunzi ambaye atamtumbuiza mgeni mkuu, wanafunzi wanamchagua Kito.Je, ataweza jukumu hilo? Kito Apepeta kimeandikwa kwa ustadi mkubwa. Kitabu hiki kinawalenga watoto wanaoanza kukamaa kwa lugha no fasihi. Kinaburudisha na kuwahimiza watoto kukuza vipaji vyao.
ISBN: 9789966788174
-
kitoweo cha mama
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartKitoweo cha mama na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kadhaa za kusisimua na za kipekee. Hadithi hizi zinaangazia hali halisi za maisha ya wanadamu kupitia wahusika wanayama. Zimejikita kwenye maudhui kama vile kusema ukweli, utiifu,kuwajali wengine, usaliti, subira na uvumilivu. Kutokana na hadithi hizi, wasomaji walengwa watachochewa kuwa na fikra za kipekuzi na za kibunifu ili waweze kudadisi mambo na kutafuta suluhu za changamoto mbalimbali zinazoweza kuwakumba maishani.
Author:
Seth Mboya -
KIU LONGHORN
Original price was: KSh700.00.KSh630.00Current price is: KSh630.00. -
Kiundu akosa Karamu 10 by Dorothy Bracey, Peter Lieta
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartHadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyepesi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto.Hadithi hizi zinawavutia wasomaji wachanga na ni msingi thabiti kwao katika kujenga uraibu wa kusoma.
ISBN: 9789966363800
-
KLB Fun World 4 : I Will be Back by Maryan Noor Yusuf
Original price was: KSh222.00.KSh200.00Current price is: KSh200.00.Add to cartAfter looking for Emilio without any success, Josh decided to join the dance party. Then Josh saw a very beautiful girl.
She was all alone. He loved her smile and the way she wiggled her waist.
The girl’s name was Sarah. Josh and Sarah danced and talked a lot at the party. They loved one another. Josh prayed that she would one day be his wife. The men hired to fetch Emilio looked for him everywhere, but could not find him at the party.
I Will Be Back is about the disadvantages of being vengeful. It teaches that you should always confirm whatever you are told by someone else. The story is suitable for class 1 to 6.ISBN: 9789966105912
-
KLB Fun World 5: Naomi and Cindy
Original price was: KSh210.00.KSh187.00Current price is: KSh187.00. -
Koba the Cockroach 1e by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195730364
-
Kobi’s Winning Smile by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKobi loves to eat sweets. He loves sweets of all shapes and colours. One day, he gets a toothache. It is very painful and it makes him cry loudly. His mother takes him to the dentist.
The dentist advises Kobi to eat less sweets’and to brush twice a day. Kobi throws away his sweets and starts eating fruits instead.
Read the story to find out what hap,pens at school.
ISBN: 9789966075222
-
KOI AND THE DIRTY ROAD
Original price was: KSh290.00.KSh265.00Current price is: KSh265.00.Add to cartTitle, Koi and the Dirty Road Keynote Primary English. Author, Alice Kiai. Publisher, Longhorn, 2003. ISBN, 9966498532, 9789966498533. Length, 28 pages