Category: Storybooks
Storybooks
Showing 529–552 of 1058 results
-
Making the team
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartWhen her parents separate and her mother has an accident, Sixteen year old Jessica has to become the family’s provider. She juggles odd jobs and her passion for football, hoping that her talent as a football player will earn her a scholarship that will enable her to go back to school. But when her dream is finally within her reach, she finds herself entangled in a scandal and realizes that she may miss an incredible opportunity just because she is a girl.
-
Makovu ya Uhai
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Makumba katika Siri ya Mwembe
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Makumba na Selidamu Nyeupe
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Mali ya Maskini
Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00. -
Malipo ya Ukaidi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartHadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa
sababu uchaguzi una matokeo
Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?
-
Malit at the Hospital by Story Moja by Maina
Original price was: KSh466.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartOn a normal weekday, the hardworking Malit is expected to be up early in the morning ready for school. Today, however, is different as he has not woken up. His younger sister senses that there must be something wrong with him and calls the attention of their parents who rush him to hospital.
The experience at the hospital, however, does not leave an entirely sweet taste in their mouths. Even so, they are determined not to let other people go through similar experiences at the hospital. Will their efforts bear fruit? Read what happens.
ISBN: 9789966066381
-
Mama Cooks Good Food
Original price was: KSh422.00.KSh380.00Current price is: KSh380.00.Add to cartThis story is for children aged 3-6 years (Pre Primary 1 & 2). It is a book that helps children learn and practice key words about food. Great for mothers to read with their children
-
Mama is a Mechanic by Story Moja
Original price was: KSh444.44.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartThe job that is right for you is the one that makes best use of your unique talents and skills. All jobs help Kenya develop. All jobs are important. Every job matters. ISBN: 9789966621306
-
Mama is sweet
Original price was: KSh289.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00. -
Mama Mwizi by Moran
Original price was: KSh244.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00.Add to cartJuma na Maria wanabaki nyumbani baada ya wazazi wao kwenda sherehe. Wanaondoka kwenda kununua peremende. Barabarani walimwona mama mjamzito akisukumwa nje kutoka garini ndogo, Juma na Maria wanaamua kumsaidia. Baadaye,Juma na Maria wanashangaa wanapogundua kuwa mama huyo…..
ISBN : 9789966347770
-
Man in Green Dungarees by Mbugua
Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartJohn Benjamin said gruffly, grabbing the lifeline that the man had offered him. “I have a business idea that might interest you.” The man’s curiosity was at once aroused.“You have three minutes,” he said authoritatively.John Benjamin is a man on a fast lane to self-destruction. His life takes an about-turn when he befriends and takes home a stray dog. The Man in Green Dungarees is a story of resilience, alcoholism and how society defines success. John Benjamin sees opportunities for success where others would have looked away.
ISBN: 9780195738148
-
Maneno ya Mwanzo by Abdul m Gugu
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartManeno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza. ISBN: 9781957331348
-
Manga Goes To School 1C
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Maonyesho ya Kufana 2c
Original price was: KSh210.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
Mariamu Goes to School 1d by Waithaka Waihenya
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartStories in the Sunrise Reading Scheme 10. Goodbye Chichi – Irene Wanjiru 16.
Bobo the Rat – Frank Odol 1c. Little Bodo – Frank Odal 1 d. Mariamu Goes to School –
Waithaka Waihenya 1e Why Hyena has Spots – Douglas Kivoi 1t. A Ride to the Park –
Ezekiel Alembi 19. Mariamu Goes Shopping – Waithaka Woihenya 1h. Trip to the Village –
Mary Mwangangi 11. Rahab’s Birthday Party – Ezekiel AlembiISBN: 9789966255037
-
Add to cart
Mashairi Bulbul 7c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: mashairi yaliyobeba maudhui anuwai. ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake. …
-
Mashairi ya Wanyama 5e by Ali hassan Kauleni, Elvera Shabiha
Original price was: KSh327.78.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartSina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni … ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya …
Mashairi ya Wanyama 5e by Ali hassan Kauleni, Elvera ShabihaRead More
-
Maskini Bibi Yangu! 6B by Said A.Mohamed
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.Add to cartMaskini Bibi Yangu! 6b ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini.
ISBN: 9780195733792
-
Maskini Popo
Original price was: KSh244.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00.Add to cartPopo ana njaa sana. Anataka chakula. Anatafuta chakula kila mahali.Anaenda karibu na ndege lakini wanamfukuza. Popo anaenda karibu na wanyama lakini pia wanamfukuza.Popo analia .Anaruka juu na hajui afanye nini. Je, ni kwa nini ndege na wanyama wanamfukuza Popo? Je, popo atapata chakula?
ISBN : 9789966342317
-
Matano and Makumi 3b by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195729078
-
Mateso ya Johari
Original price was: KSh455.56.KSh410.00Current price is: KSh410.00.Add to cartMaisha yanapokuwa magumu kijijini, Johari anasaidiwa na Mzee Magufuli kuiondokea hali hiyo. Anapoondoka kijijini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, bahati yake ataipata mjini? Atarejea kijijini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu ya maswali haya. Mateso ya Johari ni hadithi inayosimuliwa kwa ufundi mkubwa na inayoibua mseto wa hisia. Ina mafunzo …
-
Matu atuzwa by Mugambi
Original price was: KSh261.12.KSh235.00Current price is: KSh235.00.Add to cartSiku iliyofuata, mwanamume aliyekisahau kitabu alirudi dukani na zawadi. Alikuwa amemletea Matu kitabu cha kupendeza. Kitabu chenyewe kilikuwa kimejaa picha za wanyama wa pori. Kilikuwa ni cha watoto na Matu alikipenda sana. Je, ni kwa nini Matu alipewa zawadi ya kitabu? ISBN: 9789966341839
-
Matunda Sita Mtini 1a by Oxford
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.