Category: Storybooks
Storybooks
Showing 553–576 of 1058 results
-
Mbaya Wetu by Ken Walibora
Original price was: KSh511.12.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartMbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya utepetevu huu na kuthamini wasiothaminika ni kuibuka kwa wanajamii ambao hawawezi kuihakikishia jamii yao mustakabali ufaao. Tamthilia hii yenye …
-
Mbio ya Ajabu by Story Moja by Muthoni Muchemi
Original price was: KSh466.67.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKamau anajitayarisha kukimbia mbio ambayo hajawahi kimbia maishani mwake… Kamau anatufundisha ukijikaza kisabuni utafaulu.Hakuna kilicho kitamu kuliko kilichopatikana kwa shinda ISBN: 97899660015
-
Mchezo wa mtelezo na hadithi nyingine by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh322.23.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartMwalimu mkuu anawashauri wanafunzi kwenda nyumbani mapema kwani shule yao itatumiwa kugawa chakula cha msaada. Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi wanakiuka ushauri huo. Wanajiingiza katika mchezo wa mtelezo kwa muda mrefu. hawajali athari za kushindana na kutumbukia mjini ISBN: 9789966075154
-
Mchongoma 3b by Moran
Original price was: KSh328.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartTuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni.Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga ,nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusika
Siku hii naikumbuka kama jina langu…..
ISBN : 9789966342355
-
Meal and the Golden Egg by David Maillu
Original price was: KSh272.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.Add to cartA lazy Mother-hen gets one chick and calls her Lea. Lea, becomes a great friend to the farmers’ son called Mea.Their friendship saves Lea’s mother from being slaughtered the first time. Lea promises to help Mea when she becomes a grown up hen. One day, Lea lays a golden egg and gives it to Mea. …
-
Memories we lost and other (Moran) by Pauline Kea Memories We Lost AND OTHER STORIES
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartThis anthology brings together a variety of short stories from Africa and parts of the world. A rigorous and informed selection has ensured that it combines the confidence of The classic’s with the freshness that contemporary writers bring to their craft. This collection is a grain-store of memories that seek to entertain, provoke, empower and …
Memories we lost and other (Moran) by Pauline Kea Memories We Lost AND OTHER STORIESRead More
-
Mfano Mwema 4A
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00. -
Mgeni Njoo 2D
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Mhanga nafsi Yangu by Said A.MohamedRiwaya “Mhanga Nafsi Yangu” ambayo kwa hakika, ina uketo wa lugha na maudhui ambayo kwa kweli yanadhihirisha hali halisi ya maisha ya binadamu. ISBN: 9966361537
Original price was: KSh672.00.KSh605.00Current price is: KSh605.00.Add to cartRiwaya “Mhanga Nafsi Yangu” ambayo kwa hakika, ina uketo wa lugha na maudhui ambayo kwa kweli yanadhihirisha hali halisi ya maisha ya binadamu. ISBN: 9966361537
-
Michael became a land owner Moran Grade Level 5 by Carlson
Original price was: KSh455.00.KSh410.00Current price is: KSh410.00.Add to cartMoran Graded Reader Level 5
Michael overcomes various obstacles, such as an encounter with the devil.
Worldreader presents this e-book in a new series showcasing fiction from Sub-Saharan Africa. Are you a worldreader? Read more about this not-for-profit social enterprise at worldreader.org.ISBN: 9789966344328
-
Michezo Yetu by Moran
Original price was: KSh261.12.KSh235.00Current price is: KSh235.00.Add to cartSule ni mwanafunzi wa Darasa la PiLi. Yeye anapenda masomo. Sule pia anapenda kucheza. Sule na marafiki wake wanacheza pamoja. Wao wanacheza michezo mbalimbali. Sule na marafiki wanacheza wakiwa shuleni na hata nyumbani. Je, ni michezo ipi ambayo Sule na marafiki wake wanacheza? ISBN: 9789966342303
-
Mikosi na Heri by Geoffrey Levi Shimanyula
Original price was: KSh166.67.KSh150.00Current price is: KSh150.00.Add to cartMikosi na Heri ni mkusanyiko wa hadithi saba zenye mafunzo bora maishani. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi wa darasa la sita. Baadhi ya mada ambazo zimezingatiwa na mwandishi ni utiifu, uadilifu, kusema ukweli kila mara, busara maishani na mengineyo. Msomaji wa hadithi hizi pia atapata fursa ya kujifunza lugha ya Kiswahili kwa urahisi. ISBN: 2010143000044
-
Miladi na Rangi by Tarihi
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartMiladi na Rangi ni kitabu cha hadithi kilichoandikwa kulingana na utaratibu na mwongozo wa silabasi ya mtalaa mpya wa umilisi (CBC). Kitabu hiki kitaweka msingi mkubwa wa ubunifu kwa msomaji wa gredi za awali licha ya kuulea ufasaha wake katika lugha tukufu ya Kiswahil
-
Mind your Manners! by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh466.67.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartTeach your child social graces from a young age so that good manners become a life-long habit. Introduce courteous phrases to your child by describing them as magic words that have the power to influence people’s behaviour. Prompt your child to use the magic words covered in this book. These include: good morning, please, sorry, …
-
Mister Ali Champion on Wheels by Ng’ang’a Mbugua
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartAli is struck by polio soon after he is born. The doctor’s verdict is that he will never walk. His parents are devastated. Is All going to end up a beggar like’ many physically challenged children they have seen? But All has his own ambitions. Even though confined to a wheelchair, he has big dreams about succeeding in football. This wonderful story is about Ali and the challenges he has to overcome to realize his goal.
Ng’ang’a Mbugua is a respected journalist and writer. He has written and published acclaimed works of fiction and is a Two-time winner of theJomo Kenyatta Literature Prize.
ISBN: 9789966075680
-
Mister Rainbow 3m by Muitungu
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are twelve storybooks for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195734294
-
Mister Todi 4a by Oxford
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195729283
-
Mji wa Matarajio (One Planet) by Assumpa K.Matei
Original price was: KSh333.34.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartDaktari Jemima aliisoma barua hiyo. Muda wote huo, Herina alikuwa anamtazama tu. Aliona macho ya Jemima yakitua kwenye neno fulani na kumtazama, ila hakujishughulisha kuhusu mtazamo huo. Alimaliza kusoma barua hiyo na kushusha pumzi. Alimtazama Herina, kisha Jeff na hatimaye ile barua. Herina aliona vipira vya machozi vikijitokeza machoni mwa mwajiri wake. Hata hivyo, kwenye …
-
MKUU: Mbona Hivi ? (Oxford)
Original price was: KSh661.12.KSh595.00Current price is: KSh595.00. -
Mkuu: Si Kitu by Shullam Nzioka
Original price was: KSh538.89.KSh485.00Current price is: KSh485.00.Add to cartWote wawili, Sofi na Sali, walikuwa katika nyumba He He wakiwa wamefichwa: mmoja akiitunza siri na kutunzwa kisiri huku mwingine akiteswa kisiri kwa sababu ya siri.Chaanasa anakabiliwa na utata kuhusu maisha yake. Hawafahamu wazazi wake, wala hajui ikiwa bado wanaishi. Anayeijua historia yake naye anaifanya kuwa siri kubwa; siri ambayo anaihifadhi katika moyo – kiungo …
-
Mongoose and the Child Moran grade level 1 by White
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00. -
Monkey and the Crocodile Moran Grade Level 2 by Johnson
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00.Add to cartA monkey and a crocodile become friends until the crocodile’s evil wife manipulates her husband. Will the monkey be able to outwit the reptiles and spare his own life?
ISBN: 9789966344182
-
Monkey and the two boys Moran GR Lv2 by OBrien
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00. -
Moran Bible stories: David and Goliath355
Original price was: KSh305.55.KSh275.00Current price is: KSh275.00.