Category: Storybooks
Storybooks
Showing 649–672 of 1058 results
-
Mpumpu and the Stolen Bicycle 5d by Lex Ikon
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00. -
Mrembo, the Ant Queen 1s by Likimani
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are storybooks for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that’s built to last. Malaika is going home from school. She starts playing around an anthill. Then some very strange things happen to her.ISBN: 9780195737776
-
Msururu wa Mbayuwayu: Ipo siku by Dowa
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNatija na faraja vyote hutoka mbali. Nikipiga darubini nyuma ninaona jinsi maisha yalivyonidunga miiba mikali kila sehemu ya mwili wangu. Zipo siku nilikuwa ninatumia mbalamwezi kutalii vitabu vyangu usiku baada ya kukosa mafuta taa. Mwangaza hafifu nilioutumia pamoja na moshi uliotoka kwenye koroboi nilipokuwa nikisoma usiku, viliyaharibu macho yangu hadi leo ninavaa miwani…
ISBN: 9789966075888
-
Msururu wa Mbayuwayu: Kipepeo malidadi by Nzioka
Original price was: KSh433.00.KSh390.00Current price is: KSh390.00.Add to cartUna namba zao za simu?” daktari akazidi kuniuliza kuhusu wazazi wangu.
Niliogopa sana kurudi nyumbani. Nilitoka kiharamu, basi ningerudije bila ya kuingia matatani?
Nikamjibu: “Sina, Hawana simu. Sikusema uwongo. Nilitasua hali halisi…
Shullam Nzioka ni mwandishi anayefahamika kwa umilisi wake wa lugha ya Kiswahili.
Wengi wamesifu maandishi yake wakimpa mkono wa tahania kwa kazi zake ambazo huwachangamsha
wasomaji kwa mvuto mkubwa. Miongoni mwa vichapo vyake vingine ni Hamnazo na hadithi nyingine.ISBN: 9789966115126
-
Msururu wa Mbayuwayu: Kivuli cha mauko by Nyambeka
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartHadithi hii inayazungumzia maisha halisi ya mwandishi katika utoto na ukuaji wake.
Akiwa mdogo yeye ndugu zake ni wajeuri, wasiopenda kuoga na wasumbufu walivyo watoto wengine wa umri mdogo katika jamii.
Umaskini unawasakama mwandishi na familia yake. Shore ambaye ni mwanambee katika familia ya mwandishi,
anafanikiwa kupata ajira nzuri mjini Mbuta kutokana na kisomo chake.
Anaifaa familia yake kwa kila namna hadi pale maisha ya kila mmoja katika familia hii yanakuwa rahisi na mazuri.
Safiri nami katika kuisoma hadithi hii ya kukata na shoka.ISBN: 9789966075482
-
Msururu wa Mbayuwayu: Zuhura na Zahara by Yahya Mutuku
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartZuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo. Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone. Je, …
Msururu wa Mbayuwayu: Zuhura na Zahara by Yahya MutukuRead More
-
Msuya Augua Tumbo by EAEP
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
Mti wa Ajabu by Nyambura Mpesha
Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartKatika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508
-
Mti wa Milele by Story Moja by Wangari Grace
Original price was: KSh422.00.KSh380.00Current price is: KSh380.00.Add to cartSOMA PAMOJA NA MTOTO WAKO Furahia uhondo wa kusoma pamoja na mtoto wako.
Mtoto wako atavipenda vitabu maishani mwake na atajifundisha kwa wepesi endapo
utazingatia hoja kumi rahisi zilizoorodheshwa hapa chini.
1. Soma pamoja na mtoto wako katika mazingira yaliyotulia kama vile kwenye
chumba cha kulala.
2. Mhimize mtoto awe na mazoea ya kusoma hadithi nzima kwa kutumia
viziada vya lugha kama vile kupandisha sauti. Asome hadithi nzima kwanza
akilenga kuifurahia tu kisha aisome tena ili ajue yaliyomo.
3. Mhimize mtoto ayaashirie maneno kwa vidole hasa anaposoma hadithi
aliyokwisha kuisoma awali.
4. Chunguza kama mtoto anaelewa aliyoyasoma kwa kumuuliza maswali rahisi
kuhusu michoro, wahusika na hadithi kwa jumla.
5. Kuwa na mtazamo chanya kuhusu hatua anayopiga mtoto katika usomaji
wake. Usimvunje moyo bali umsifu kwa kila hatua anayopiga.
6. Hakikisha kwamba mtoto anaisoma hadithi mara kadhaa.
7. Baada ya mtoto kuzoea kusoma hadithi fulani, mhimize ajaribu kukusomea
baadhi ya maneno ya hadithi hiyo au hadithi nzima,
8. Mnunulie mtoto wako vitabu tofauti tofauti vya kuburudisha kama vile vitabu
vya picha, vya kuchekesha na vya kuelimisha.
9. Mwonyeshe mtoto wako kwamba una nia ya kufuatilia na kujua hadithi
anazozisoma kwa kumuuliza maswali kuhusu hadithi hizo. Pia mhadithie
hadithi ulizosoma kwenye vitabu ulivyo navyo.
10.Uwe kielelezo bora kwa mtoto wako ili avithamini vitabu. Mwache mtoto
wako akuone wewe ukisoma vitabu vingi.ISBN: 9789966001726
-
Muddy Muddy Wedding by KIE
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Muddy Muddy Wedding by KIE
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Musa na Watekanyara by barabara Kimenye
Original price was: KSh594.00.KSh535.00Current price is: KSh535.00.Add to cartSiku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile … Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni – hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao.
ISBN: 9780195738070
-
Mwanasayansi 2f by Egara Kabaji
Original price was: KSh257.78.KSh230.00Current price is: KSh230.00.Add to cartMwanasayansi 2f ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la pili katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Tami anataka kuwa mwanasayansi. Atafanya nini Hi afikie ndoto yoke?Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195738322
-
Mwanza’s Wonderland
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKui is a girl with big dreams. She lives with her mother and little sister in Nairobi. One day when coming from school, she meets a boy who lives at a garbage dump. The boy cannot afford to go to school. Kui and her friends come up with a plan to help. Will the plan succeed?
-
Mwanza’s Wonderland by Story Moja
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00. -
Mweri and the Mysterious Bird
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartMweri is too tiny to go hunting in the forest with other boys. Everybody makes fun of him because they think he is too small and weak. When Mweri learns from a mysterious bird that his people are in danger, he has to find a way to save them. But will the villagers believe the tiny Mweri?
Author:
Sarah Haluw -
Mweri na Ndege wa Ajabu
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartMweri ana mwili mdogo sana kwenda kuwinda porini kama wavulana wengine wa rika lake. Wenzake humfanyia mzaha kwa sababu hufikiri yeye ni mdogo wa kimo na mnyonge. Mweri alipojifunza kutoka ndege wa ajabu kuwa watu wake wako hatarini, ilibidi atafute njia za kuwaokoa. Je, wanakijiji watamwamini huyo Mweri mdogo?
Author:
Sarah Haluwa -
Mwiba wa Kujidunga
Original price was: KSh233.00.KSh210.00Current price is: KSh210.00. -
Mwili wangu 1f by Kitula Kingei
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Mwisho wa Ujambazi by Yahya Mutuku
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
My Best Friend
Original price was: KSh444.44.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartBook about people living with disability
This story is for children aged 4-6 years (PP1& PP2). It is a book that help children learn that visual disability is not inability.
-
My cat by Moran
Original price was: KSh283.34.KSh255.00Current price is: KSh255.00.Add to cartRead and Grow makes reading fun. Both early readers and late readers will find it easy to read. The story books are useful for both classroom and home reading. Let the learners learn the appropriate themes, activities, attitudes and words.
ISBN: 9789966346919
-
My First book of favourite stories by Wairimu.N.Meenye
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
My Friend Kilomi
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.