Category: Storybooks
Storybooks
Showing 985–1008 of 1058 results
-
Turning Point 5h by Kabui
Original price was: KSh327.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195733822
-
Tuzo la Uaminifu by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartIli kuteuwa kiongozi mpya, simba mzee anawapa kiboko, kifaru na ndovu mtihani tata. Kila mmoja anataka kuwa mshindi na kuteuliwa kiongozi wa jangwani. Nani atashinda ISBN: 9789966620613
-
Tuzo ya Ujasiri
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartWanafunzi wa darasa la nne wanatembelea mbuga ya wanyama ya Nairobi. Wanaelezwa mengi kuhusu wanyamapori na wawindaji haramu. Hata hivyo, wnavutiwa na kuburudishwa zaidi na vituko vya tumbiri mcheshi. Wanaondoka wakimjadili tumbiri huyo mwenye tabia zinazofanana na binadamu
-
Twelve Months by Ellen Banda-Aaku
Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartDon DiMarco has a very good life – a family he loves, a comfortable lifestyle, passions and interests that keep him amused. He also thought he had time, but that turned out not to be the case. Faced with news that might have immediately felled most, Don now wonders if he has time enough. Time enough to show his wife the romance he didn’t always lavish on her. Time enough to live out his most ambitious fantasies. Time enough to close the circle on some of his most aching unresolved relationships. Summoning an inner strength he barely realized he possessed, Don sets off to prove that twelve months is time enough to live a life in full.A glorious celebration of each and every moment that we’re given here on Earth, as well as the eternal bonds that we all share, TWELVE MONTHS is a stirring testament to the power of the human spirit.
ISBN: 9780195736090
-
Twist of Fate by Odero
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartTina and her parents are having a time of their lives until they are involved in an accident that leaves her father seriously injured. What will happen to young Tina’s dreams and aspirations? Read this fascinating story to find out how Tina and her mother cope with the unfortunate situation, and how Tina retains her …
-
Ua la Muli by Story Moja by Nyanchoka
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKuna shamba lenye maua maridadi. Hata hivyo, ua moja tu la Muli ndilo halipendezi. Je, Muli atalifanyia nini? ISBN: 9789966621153
-
Uamuzi wa wanyama
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme Simba anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahamu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?
-
Uchochole si Kilema by Nyambu
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.Add to cartKulanga alizaliwa katika maingira magumu yasiyosikika wala kutajika.
Hali hii haikulua ndoto yake ya kufanikiwa Tabia njema na bidii yake
zilimfanya aheshimike na walimu pamoja na wenzake shuleni
Wavyele wake walipoipa dunia kisogo, ilionekana kana kwamba hataweza kufikia ile ndoto ya ajabu aliyokuwa nayo.
Mfadhili wake anauawa kwa sumu na kisha mke wa mfadhili kukatisha ufadhille kijana huyu atafanyaje i kufanikiwa
maishani na kuifikia ndoto yake?ISBN: 9789966075260
-
Ufalme wa mende
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartUfalme wa Mende ni hadithi ya kusisimua inayolenga kutoa tahadhari dhidi ya kutozingatia usafi.Mzee tabu na mwanawe anayeitwa Mchafu, wanaathirika sana na mende hali inayoletwa na kutopenda usafi.
Nyumba ya mzee Tabu imekuwa miliki ya mende.Imetawaliwa na mende. Ufalme wa Mende. Mende hawa wanaleta maangamizi makubwa ya kuatua moyo.kUNATOKEA NINI?
ISBN: 9789966140210
-
Ujasiri wa Tito by Pamela Ngugi
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.Add to cartTito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! Ujasiri wa Tito ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195739824
-
Unlikely Burden and Other Stories longhorn
Original price was: KSh777.00.KSh700.00Current price is: KSh700.00. -
Upepo wa mvua
Original price was: KSh467.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00. -
Urafiki wa Siafu na Ndege
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartSiafu anaenda mtoni kunywa maji. Akiwa kando ya mto anateleza na kuingia majini. Je, Ndege aliyekaribu anamwokoa? Akimwokoa, atamsaidia Ndege vipi?
-
Ushindi wa Kironje na hadithi nyingine
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartHuu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.
ISBN: 9789966140029
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:
ISBN: 2010143000235
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.
ISBN:9780195730715
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi …
-
Vidudumtu na Fundi wa Viatu Hadithi zA LADYBIRD
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartHadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambapo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi pa Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi. na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.
ISBN: 9780241331927
-
Village Fool and other Stories by Chetambe klb
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartThe stories in this collection capture the laughter and tears of a twenty-first-century society as it sways forwards and backward in the search for happiness. In both the village and the city, emerging values confront the older system in an increasingly globalized and digitized social-economic context. The lives of the ordinary village and city folk …
-
Vioja vya Musa 8b by Hezron Mogambi
Original price was: KSh422.00.KSh380.00Current price is: KSh380.00.Add to cartFumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo. mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanotoka katika familia za walalaheri. Kutokana na bidii masomoni na uadilifu, Musa anateuliwa kuwa kiranja mkuu. Hata hivyo, cheo hiki hakimpi furaha kwani anateuliwa na kuchekwa kwa sababu ya umaskini wa familia yao. Musa anashawishika kushiriki maovu ili kujipatia hela za kujistarehesha shuleni. Jambo hili linamzushia balaa, vioja na mikasa …
ISBN: 9789966342492
-
Vipawa Vya Hasina 8e by Said A Mohamed
Original price was: KSh400.00.KSh360.00Current price is: KSh360.00.Add to cartVipawa vya Hasina 8e ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.<br />Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
- kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
- kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195734560
-
Visa na Mikasa 2B Hadithi ya Nyanya by Zani
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
Visa na Vituko Dhiki yangu 6b
Original price was: KSh277.77.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Visa na Vituko Hazina na Abdul 4h by Mathias Momanyi
Original price was: KSh233.00.KSh210.00Current price is: KSh210.00.