Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine

      Original price was: KSh533.33.Current price is: KSh480.00.

      Mpango wa Leshan, Aida na marafiki zao unatumbukia nyongo baada ya ajali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani? Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini?  Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza  umuhimu wa kushirikiana, Kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.

      Ajali ya keki na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadiliya upendo pamoja na heshima miongoni mwa wasomaji.

      Author:
      Rebecca Nandwa

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS