Akiba ya Wema na Hadithi Nyingine by Timothy M. Arege
Original price was: KSh505.56.KSh455.00Current price is: KSh455.00.
Diwani ya Akiba ya Wema ni mkusanyo wa hadithi za waandishi kutoka Afrika Mashariki. Hadithi hizi zinazungumzia masuala kama vile ndoa, familia, elimu, ajira, wema na utendakazi. Hizi ni hadithi zinazoonyesha umahiri wa watunzi wake. Mkusanyo huu una hadithi zenye mvuto na vionjo anuwai kimuundo na kimtindo.
ISBN: 9789914729979
Reviews
There are no reviews yet.