1
KSh525.00

    Cart

    1
    KSh525.00

      Cart

      Sale!

      Fumbo la Wageni

      Original price was: KSh555.55.Current price is: KSh500.00.

      Kalo, anayesomea mjini, anavumbua kinyago maalum chenye uwezo wa kutumia teknologia kuwafukuza tumbiri shambani. Baada ya uvumbuzi huu, wazazi wa Kalo wanahama kijiji  ghafla. Haya yanayokea baada ya wageni fulani wa kiume kuwatembelea wazazi wa Kalo pale mjini. Kalo analazimika kuhama pamoja na wazazi kijijini. Nia yake ya kuwasilisha uvumbuzi wake katika kongamano la Kitaifa la Sayansi na Teknolojia inakumbwa na changamoto. Akiwa kijijini, Kalo anajipita katika hali tata. Je, ataweza kushiriki katika kongamano?

       

      Fumbo la Wageni ni novela inayoangazia changamoto zinazowakabili wasichana wanaoishi katika bara la Afrika. Baadhi ya maudhui yaliyoshughulikiwa ni elimu, utamaduni wa ukeketaji wa wasichana na ndoa za mapema za wasichana

      Sale!
      Make Your Order
      1
      KSh525.00

        Cart

        Call Us
        COMPARE PRODUCTS