Gamba apiga Ngoma
Original price was: KSh444.44.KSh400.00Current price is: KSh400.00.
Gamba anapenda kuwatazama luka na Lusi wakipiga ngoma. Gamba anapenda kuimba na kucheza. Hata hivyo, hamu yake ni kupiga ngoma. Isome hadithi hii ugundue jinsi Gamba anavyojitahidi, wakati huo huo akibarudika, kutimiza ndoto yake
ISBN: 9789966066725
Reviews
There are no reviews yet.