Habari za Mawio 8C
Original price was: KSh400.00.KSh360.00Current price is: KSh360.00.
Habari za Mawio 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na Kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi.
- kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
- kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195733808
Reviews
There are no reviews yet.