Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      Hatua za Kiswahili Rasmi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1

      Original price was: KSh672.22.Current price is: KSh605.00.

      Hatua za kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lugha, kusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:
      • Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 1 ili kurahisisha utumiaji
      • Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.
      • Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.
      • Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.
      • Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.
      • Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.
      • Hadithi na utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili
      na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.
      • Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia

      ISBN: 2010127000753

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “Hatua za Kiswahili Rasmi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS