Imarisha Lugha: Kade na Katana by Queenex
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.
” Mwanangu, je wajua mtoto ukimwachia pilipili ataila? Tena kwa mikono, miguu hadi hata mashavu? Ukali wa pilipili umwingie ata machoni?”
Nyanya aliwahadithia wajukuu wake kupitia kwa ngano. Kade alimsaliti ndugu yake Katana na kujipandisha cheo . Lakini baraka za mja hazizibwi hata kwa ukuta. Hatima ya ndugu hawa itakuwa ipi?
ISBN : 9789966115102
Reviews
There are no reviews yet.