Jitu Latingisha Ardhi by Story Moja by Muthoni Muchemi
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.
Onyango anapotelea msituni anapocheza na marafiki zake wanne katika kitongoji kimojawapo cha jiji la Nairobi. Msitu huo ni makao ya Chakaa-chakachaka, jitu lenye nywele kote mwilini, ambalo mlo wake linaloupenda zaidi ni watoto. Baada ya kupata mashauri kutoka kwa mtu mmoja ambaye ndiye wa pekee aliyewahi kunusurika kifo alipozuiliwa na jitu, marafiki wanne wanafunga safari ya kutisha kuenda kumtafuta Onyango kwa azimio wanaloliita 000! Oparesheni Okoa Onyango! Watoto hao wanakumbwa na kizingiti baada ya kizingiti, kama vile, kukabiliana na mamba, fisi na wanyama wengine hatari mno.Wakielekea pangoni mwa jitu. Je, watawahi kumwokoa Onyango kabla hajafanywa na jitu kuwa nyama choma? Ni vipi watakavyolikabili jitu lile la kutisha? Je, watanusurika kifo?
ISBN: 9789966001573
Reviews
There are no reviews yet.