Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      JKF Nyota ya Kiswahili Pupils GD5

      Original price was: KSh577.00.Current price is: KSh520.00.

      Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wo vitabu vya kiada kwa Gredi ya tano. Kimeandikwo kuombotana no mtoloo mpyo. Kitobu hiki kimelenga kumwongoza mwonafunzi katika masomo yoke yo lugha ya Kiswahili kwa kutimiza moarubu yo mtolao wa kiwango husika. Ndani yoke mno mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yoo. Kimezingatia stadi zote zo kujifunza lugha, rani:
      (i) Kusikiliza
      (ii) Kuzungumza
      (iii) Kusoma
      (iv) Kuondika
      (v) Msamiati

      (vi) Sarufi

      Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa iii kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoamazoezi ya kutosha yatakoyowowezesho kupato:
      • Umilisi wa kimsingi
      • Maadili ya kimsingi
      • Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuka

      Zaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa modo watiyojifunza;

      • na masomo mengine
      • na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
      • na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji

      Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tojiriba pevu. Womekomaa kwenye stadi ya uondishi wa vitabu vya kiado.

      ISBN> 9789966510341

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “JKF Nyota ya Kiswahili Pupils GD5”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS