Kamusi ya Methali za Kiswahili (EAEP)
KSh888.00 Original price was: KSh888.00.KSh800.00Current price is: KSh800.00.
Related products
-
Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn
KSh1,555.56Original price was: KSh1,555.56.KSh1,400.00Current price is: KSh1,400.00.Add to cartKamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4)Â ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
ISBN: 9789987020973
-
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition by Oxford
KSh1,316.00Original price was: KSh1,316.00.KSh1,185.00Current price is: KSh1,185.00.Add to cartKamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.ISBN: 9780195746167
-
Kamusi ya Semi-Toleo Jipya by Ndalu, Kingei
KSh888.00Original price was: KSh888.00.KSh800.00Current price is: KSh800.00.Add to cartToleo Jipya Ia Kamusi ya Semi ndicho kitabu cha pekee kilichokusanya zaidi ya semi elfu nne. Kitabu hiki kinajumuisha semi, maana yake, pamoja na mifano faafu. Ufafanuzi wa msamiati umetiliwa maanani huku maana kadhaa za semi zikitolewa. Aidha, semi zilizomo humu kitabuni zimepangwa kialfabeti ili kurahisisha urejeleaji. Toleo hili Jipya Ia Kamusi ya Semi ni kitabu kinachowafaa wanafunzi na walimu wa kila daraja: shule za msingi, za upili na hata vyuo vikuu. Hii ni dafina kuu kwa wapenzi wote wa lugha na fasihi ya Kiswahili. Kitula King’ei ni mwalimu, mwandishi, mtafiti na msomi wa lugha na fasihi ya Kiswahili aliye na tajriba kubwa sana. Kwa sasa, ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ahmed Ndalu amefundisha Kiswahili katika shule za upili na vyuoni, na vile vile kuandika vitabu kadhaa. Hivi sasa, amestaafu kazi ya ufundishaji na anajishughulisha na utafiti na uandishi wa vitabu vinavyoshughulikia nyanja tofauti tofauti za Kiswahili.
ISBN: 9966465405
-
Oxford Primary Dictionary for East Africa by OUP Kenya
KSh1,188.00Original price was: KSh1,188.00.KSh1,070.00Current price is: KSh1,070.00.Add to cartThe up-to-date dictionary with all the syllabus vocabulary for primary schools in Eastern and Central Africa
* Oxford 2000 — the most useful and important words to learn — marked with a key
* All the words and phrases that you need in your lessons
* Extra help with spelling, pronunciation and grammar in note boxes
* Prepare for your exams with the vocabulary you needOver 17,500 words and phrases 600 illustrations — understand and remember words
1,000 notes — get it right!
11,700 example sentences
use words correctly
Word Family and Word Building boxes — learn new words
Understand words with the opposite or same meaningISBN: 9780194420952
-
Cambridge Advanced Learners Dictionary 4th Edition by IDM
KSh2,500.00Original price was: KSh2,500.00.KSh2,250.00Current price is: KSh2,250.00.Add to cartWith clear definitions and over 140,000 words, phrases, meanings, and examples, plus hundreds of pictures and illustrations, this dictionary is perfect as a reference tool and as a study companion.
Informed by the Cambridge International Corpus and correlated to English Vocabulary profile.
: Focus on writing sections deals with all the essential aspects of academic, formal, and informal writing
: Up-to -date vocabulary includes words from the areas of technology, media, language , society, and lifestyle, plus important words for academic study.
: Learner error information shows the most common errors made by learners of English, so that you can avoid making the same mistakes
: English vocabulary profile correlation shows which words and meanings are known by learners at what level, so you can prioritize your vocabulary learning.
ISBN:9781316509777
Reviews
There are no reviews yet.