Kipepeo apeperuka by Said
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.
Dunia haishi maajabu. Kuna mengi ya kuajabia. Katika ulimwengu wa wadudu, kuna baadhi yao wanaopitia hatua kadhaa za maisha yao kuanzia yal. Mageuzi hayo katika maumbile yao na maisha yao yana maana na umuhimu kwetu pia. Hebu tujifunze sote maumbile ya kipepeo. Hassan Said ana tajriba pana katika uchapishaji vitabu hasa kamusi na hadithi za watoto. Sasa amejitoma katika ulingo wa hadithi, kama mwandishi chipukizi, akipanua mawanda ya uhariri na uandishi.
ISBN: 9789966115157
Reviews
There are no reviews yet.