KISWAHILI SAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI GRADE 8(APPROVED)
Original price was: KSh688.00.KSh620.00Current price is: KSh620.00.
Hiki ni kitabu kilichoandaliwa kwa ajili ya kuimarisha ujuzi na umilisi wa mwanafunzi katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma, kuandika, pamoja na sarufi. Aidha, kinanuiwa kumwezesha mwanafunzi kufikia matokeo maalum yanayotarajiwa kama yalivyopendekezwa katika mtaala.Kitabu hiki kina:
1.Shughuli za ujifunzaji zinazochochea uwazaji kina na utatuzi wa matatizo.
2.Mbinu mbalimbali za ujifunzaji kama vile mijadala, uwasilishaji na uigizaji ili kuimarisha ujifunzaji.
3.Lugha sahili inayoafiki kiwango cha mwanafunzi.
4.Mifano mbalimbali inayomwongoza mwanafunzi.
5.Michoro mbalimbali inayomsaidia mwanafunzi katika kujifunza dhana husika.
6.Shughuli zinazofanywa na mwanafunzi binafsi na zinazomhitaji kushirikiana na wenzake.
7.Sehemu ya hoja kuu inayompa mwanafunzi maelezo ya kina kuhusu dhana inayohusika.
8.Shughuli za kidijitali zinazoimarisha ujuzi wa kidijitali kwa mwanaunzi.
9.Sehemu ya TATHMINI YANGU inayomwezesha mwanafunzi kujitathmini kwa mujibu wa matokeo maalum yanayotarajiwa.
10. Sentensi zinazojenga maadili na kuangazia masuala mtambuko.
Bila shaka kitabu hiki kitampa mwanafunzi hamu ya kujifunza kiswahili.
kiswahili sahili,Rasa hasa!
ISBN: 9789914729702
Reviews
There are no reviews yet.