Kitabu changu cha Kiswahili by Njoroge
Original price was: KSh433.00.KSh390.00Current price is: KSh390.00.
Kitabu hiki kimeandikwa nu mwandishi mwenye tajriba pana ya kufundishc katika Shule za Chekechea nchini Kenya. Muundo wa kitabu hiki utamsaidia mwanafunzi kupata msingi imam wa elimu ya kiwango cha Chekechea. Mwanafunzi anahakikishiwa stadi muhimu zinazohitajika katika kujenga msingi dhabiti masomoni. Kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi:
- Kusoma vokali
- Kusoma silabi za vokali
- Kulinganisha picha na jina
- Kuchora picha ya jina
- Kutunga sentesi kutokana no picha Vitabu vingine katika msururu huu ni:
- Kujaza nafasi kwa vokali
- Kutunga maneno kwa vokali na silabi
- Kuandika maneno vizuri
- Kutunga sentesi kwa maneno
- Kinyume, Tarakimu na Wingi
ISBN: 9789966788924
Reviews
There are no reviews yet.