kitendawili cha nungunungu-one planet
Original price was: KSh261.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00.
Adamu na Mwangavu wanatoka shuleni. Adamu anajikwaa kwenye kitu anachodhani ni jiwe. Anasimulia wazazi wake kisa hicho. Baba yake, Mganga Fadhili, anamwambia si jiwe bali ni nungunungu ambaye hapo awali alikuwa kijana mtundu. Je, binadamu anaweza…
Reviews
There are no reviews yet.