kitoweo cha mama
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.
Kitoweo cha mama na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kadhaa za kusisimua na za kipekee. Hadithi hizi zinaangazia hali halisi za maisha ya wanadamu kupitia wahusika wanayama. Zimejikita kwenye maudhui kama vile kusema ukweli, utiifu,kuwajali wengine, usaliti, subira na uvumilivu. Kutokana na hadithi hizi, wasomaji walengwa watachochewa kuwa na fikra za kipekuzi na za kibunifu ili waweze kudadisi mambo na kutafuta suluhu za changamoto mbalimbali zinazoweza kuwakumba maishani.
Author:
Seth Mboya
Reviews
There are no reviews yet.