Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Longhorn Kusoma na Kuandika Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 by Hezekiel Gikambi, Henry T. Indindi, Danson Khasiani, Rachel Maina.

KSh450.00

Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa.
Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.

ISBN: 9789966640154

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Longhorn Kusoma na Kuandika Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 by Hezekiel Gikambi, Henry T. Indindi, Danson Khasiani, Rachel Maina.”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us