Longhorn Mwanga wa Kiswahili Grade 7 (Approved) by Longhorn
Original price was: KSh744.00.KSh670.00Current price is: KSh670.00.
Hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi, umahiri mkubwa na kwa lugha ya kiwango cha mwanofunzi wa gredi ya saba. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
ISBN: 9789966643759
Reviews
There are no reviews yet.