Longhorn Mwanga Wa Kiswahili Grade 8 (Approved) by Longhorn
Original price was: KSh833.00.KSh750.00Current price is: KSh750.00.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi, umahiri mkubwa na kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Nane. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala wa kiumilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la kenya.Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalumu pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
ISBN: 9789966644077
Reviews
There are no reviews yet.