Longhorn: Ukarimu wa Maria Grade 2 (Kiswahili) by Ken Walibora
Original price was: KSh260.00.KSh235.00Current price is: KSh235.00.
Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo yepi? Maria anamsaidiaje?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
ISBN: 9789966641984
Reviews
There are no reviews yet.